Karibu Katika Tovuti ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar

STAFF MAIL : Login

Awesome Logo

Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) LTD imeanzishwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na imeanza kufanya shughuli zake kuanzia mwezi wa Oktoba 2017. Taasisi hii inaongozwa na Mkurugenzi Mwendeshaji ambae ni mteuliwa wa Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
Maelezo zaidi

Choose Your Color
You can easily change and switch the colors.