Karibu Katika Tovuti ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar

STAFF MAIL : Login

Awesome Logo
Awesome Image

Mheshimiwa Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Mheshimiwa Suleiman Masoud Makame, wiki hii ya tarehe 16 hadi 20 Oktoba 2023 aliungana na viongozi wengine wa kimataifa kushiriki katika Kongamano Kuu la Kimataifa la Masuala ya Uchumi wa Bahari lililofanyika Mumbai, India........

Soma Zaidi
Awesome Image

Kikao Kazi cha Wataalamu kutoka Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi, UNDP na UNEP Tanzania kilichokutana Tarehe 19 - 21 Oktoba 2023, kupitisha rasimu za uchapishaji wa vitabu vyote vya Sera, Mipango, Mikakati, Miongozo, n.k ya Uvuvi, Mazao ya Baharini.......

Soma Zaidi
Awesome Image

Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar imepokea vifaranga vya Samaki elfu sitini aina ya Mwatiko (milk fish) kutokea nchini Indonesia kwa mashirikiano ya Kampuni ya Zanzibar Marine Hatchery kwa lengo la kuondoa changamoto ya ukosaji wa vifaranga hapa nchini........

Soma Zaidi
Awesome Image

Mkuu wa Wilaya Kaskazini A Unguja tarehe 16/10/2023, amezindua mradi wa usimamizi shirikishi wa uvuvi katika Hifadhi ya TUMCA unaofadhiliwa na shirika la Blue Venture (BV). Mradi huo ni wa mwaka mmoja utakaotekelezwa na JDF kwa mashirikiano na usimamizi wa Hifadhi ya TUMCA.......

Soma Zaidi
Awesome Image

Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi tarehe 14/10/2023 ilijumuika na wananchi wanaoishi pembeni ya eneo tengefu la ufungaji wa pweza, Pongwe, kwa mavuno ya msimu wa Julai-Septemba, 2023. Ufunguaji wa mavuno hayo ulishuhudiwa na Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Kati,.....

Soma Zaidi


Choose Your Color
You can easily change and switch the colors.