Karibu Katika Tovuti ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar

STAFF MAIL : Login

Awesome Logo

1. Mradi wa Uismamizi wa Sekta ya Uvuvi katika Kanda ya Magharibi ya Bahari ya Hindi (SWIOFish) Kutoka Benki ya Dunia.
2. Mradi wa BLUEGRASI kutoka WIOMSA.

MIRADI INAYOTEKELEZWA KWA MASHIRIKIANO NA WADAU WENGINE
1. Mradi wa SAPPHIRE katika eneo la Uvuvi na Mazao ya Baharini kwa pamoja Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais. Eneo hili linatekelezwa na kuratibiwa na FAO Tanzania.
2. Mradi wa SAMAKI II kutoka NORHED Norway na Chuo Kikuu cha Dar es Salam .

Choose Your Color
You can easily change and switch the colors.