Karibu Katika Tovuti ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar

STAFF MAIL : Login

Awesome Logo

Malengo Yetu
1. Kusimamia maendeleo endelevu ya sekta ya Uvuvi na Mazao ya Baharini.
2. Kusaidia na kushajiisha fursa mbali mbali za ubia baina ya Sekta za Umma na Sekta Binafsi katika Uchumi wa Buluu.
3. Kutekeleza malengo ya uwezeshaji wa waajasiriamali na wananchi kwa ujumla katika Uchumi wa Buluu.
4. Kusimamia utafutaji na uchimbaji wa rasilmali ya mafuta na gesi.
5. Kuendelea na juhudi za utafiti na uwezo katika kutafuta fursa mbali mbali za nishati mbadala.
6. Kupambana na uharibifu na uchafuzi wa mazingira ya baharí na kusimamia hifadhi za maeneo ya baharí.
7. Kusimamia na kuendeleza utafiti wa sekta ya uvuvi na rasimali za baharí.
8. Kuongeza mashirikiano na sekta mbali mbali katika uratibu wa masuala ya diplomasia ya uchumi wa buluu, usimamizi wa baharí na usalama wa baharí.

Choose Your Color
You can easily change and switch the colors.