Karibu Katika Tovuti ya Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar

STAFF MAIL : Login

Awesome Logo

1. Mradi wa Uimarishaji wa Sekta ya Uvuvi na Mazao ya Baharini Tanzania (TASFAM) kutoka Benki ya Dunia.
2. Mradi wa “Blue Economy Development Program in Tanzania” kutoka UNDP.
3. Mradi wa “Action Document for Blue Economy on Job Creation and Climate Change” unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya.
4. Mradi wa Uimarishaji wa Mnyororo wa Thamani katika Mazao ya Baharini kutoka KOICA.
5. Mradi wa Maendeleo ya Uchumi wa Buluu kutoka Shirika la Maendeleo la Ufaransa.
6. Mradi wa Heshimu Bahari kutoka USAID.

Choose Your Color
You can easily change and switch the colors.