SEHEMU YA
Huduma Zetu
Utoaji wa leseni na vibali vya uvuvi
Utalii wetu wa Zanzibar ni utalii wa bahari. Ni utalii unaotegemea uhai na afya ya bahari na rasilmali zake.
Utoaji wa leseni na vibali ya mazao ya baharini
Mifumo ya Nishati Mbadala ya baharini inakabiliwa na changamoto ya tafiti na maendeleo, hasa katika vyanzo vya nishati mbadala ya upepo, jua na mawimbi. Uwekezaji…
Usimamizi wa leseni za utafutaji wa mafuta na gesi
Sekta ya Uvuvi ni mojawapo ya nguzo kuu za Uchumi wa Buluu Zanzibar na imeendelea kuwa sekta muhimu sana katika kupunguza umaskini na kuleta maisha…
Utoaji wa vibali vya usafirishaji wa bidhaa za mazao ya baharini nje ya nchi
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar inaendelea na mchakato wa utafiti, utafutaji na uchimbaji wa mauta na gesi hasa katika ameneo ya bahari Zanzibar.
Usimamizi wa uingiaji na utozaji wa ada kwa watalii ndani ya hifadhi za baharí
Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi ina mpango jumuishi unaohusisha uratibu wa sekta mbali mbali za Uchumi wa Buluu.
Uboreshaji wa viwango vya mazao ya uvuvi, mwani na mazao ya baharini
Zanzibar imebarikiwa na fursa mbali mbali za uimarishaji wa Sekta ya Usafiri wa Baharini pamoja na mifumo yake ya kibiashara, huduma na miundombinu.



