02
03
03
01
01
02
KUHUSU SISI
Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi inaongozwa na Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi.
Katika ngazi ya kiutendaji Wizara inaongozwa na Katibu Mkuu akisaidiwa na Naibu Katibu Mkuu pamoja na Idara tano (5), Ofisi Kuu Pemba na Vitengo sita (6) vinavyoripoti moja kwa moja kwa Katibu Mkuu.
Aidha, Wizara ina jumla ya Taasisi nne (4) zinazojitegemea.
Kuigeuza Zanzibar kuwa kitovu cha maendeleo ya Uchumi wa Buluu katika Eneo la Magharibi ya Bahari ya Hindi.
Kuimarisha usimamizi na matumizi endelevu ya rasilmali za baharí kupitia fursa mbali mbali za uwekezaji katika uchumi wa buluu, ujasiriamali pamoja na uwezeshaji wa wananchi, na kuhakikisha haki na maslahi ya jamii katika fursa hizo.
Uvuvi na mazao ya Baharini
Nishati mbadala ikiwemo Mafuta na Gesi
Biashara na Miundombinu ya Baharini
Utawala wa Uchumi wa Buluu
Utalii
HUDUMA ZETU
HABARI NA MATUKIO
Ugawaji wa Vifaa vya Mwani kwa vikundi 125 Mkoa wa Kaskazini Pemba
November 27, 2025
Ugawaji wa Vifaa vya Mwani kwa vikundi 125 Mkoa wa Kaskazini Pemba (Micheweni)
Mradi wa Usimamizi Shirikishi wa Uvuvi katika Hifadhi ya TUMCA Kuzinduliwa
September 29, 2025
Mradi wa Usimamizi Shirikishi wa Uvuvi katika Hifadhi ya TUMCA Kuzinduliwa.
Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar imepokea vifaranga vya Samaki
September 29, 2025
Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar imepokea vifaranga vya Samaki.
MIRADI ILIYOKAMILIKA
















