MIRADI INAYOKUJA
Mradi wa Uimarishaji wa Sekta ya Uvuvi na Mazao ya Baharini Tanzania (TASFAM) kutoka Benki ya Dunia
Mradi wa “Blue Economy Development Program in Tanzania” kutoka UNDP
Mradi wa “Action Document for Blue Economy on Job Creation and Climate Change” unaofadhiliwa na Umoja wa Ulaya
Mradi wa Uimarishaji wa Mnyororo wa Thamani katika Mazao ya Baharini kutoka KOICA
Mradi wa Maendeleo ya Uchumi wa Buluu kutoka Shirika la Maendeleo la Ufaransa
Mradi wa Heshimu Bahari kutoka USAID



